Google PlusRSS FeedEmail

UPENDO:DIAMOND HAJUI MAPENZI



Mrembo ‘five star’ kutoka ndani ya kiwanda cha filamu Bongo, Upendo Moshi , amefunguka kuwa uhusiano alikuwanao awali na nyota wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ndiyo uhusiano mbovu zaidi kuliko yote aliyowahi kuwa nayo.Upendo aliyeng’arisha nyota yake kupitia kipindi cha maisha Plus kilichokuwa kinarushwa na kituo Kimoja cha runinga amesema kuwa katika kipindi chote cha miezi 5 alichokaa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Diamond hakuwahi kufurahia tendo la ndoa kila walipokuwa kitandani .Nimekuwa na uhusiano wa mapenzi na Diamond kwa miezi mitano, lakini hata mara moja hakuwahi kunifikisha kileleni, kwangu mimi namuona kuwa ndiye mwanaume asiyejua mapenzi kabisa miongoni mwa wale niliowahi kukutana nao” alisema Upendo huku akicheka Akiendelea zaidi upendo alifunguka kuwa anashangaa mno kuona wasichana wanapigana vikumbo mtaani kwa sababu ya mtu huyo akiamini kuwa huenda umaarufu wa kijana huyo anayeitawala anga ya muziki hizi sasa hapa nchini ndiyo pekee unaomfanya kugombaniwa ingawa yeye haoni kama ni mwanaume rijari wa kweli mwenye kujua kumridhisha mwanamke kitandani“Nashangaa wanamgombea, lakini aah! acha wapigane vikumbo lakini kwangu mimi najua Diamond hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kitandani” alisema Pendo...

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging