Google PlusRSS FeedEmail

KING MAJUTO.AINGIZA FILAMU YAKE MPYA SOKONI

Soko la filamu wiki hii filamu zilizoingia sokoni kwa siku ya Ijumaa ni Geti Kali ambayo ni komedi inayowashirikisha wasanii kama Asha Boko, Mtanga, Gobogobo na Alex Machojo komedi hiyo imesambazwa na kampuni ya G Power komedi hiyo ipo dukani na inaendelea kufanya vizuri ..gwiji la vichekesho Afrika mashariki Amri Athuman ‘King Majuto’ ameingia sokoni na komedi ya Four Angle akimshirikisha mwanaye Mohamed kazi hiyo imeandaliwa na Yusuf Omary muswada umeandikwa na Nick Issa Sudy picha pia imepigwa na Nick Issa Sudy.Filamu nyingine iliyopo sokoni ni filamu ya Kauli ya Mama kazi iliyofanywa na Haji Hakimu kama mtayarishaji na mwandishi wa muswada lakini kwa upande wa uhariri umefanywa na Msekwa, hizi ni kazi zilizoingia sokoni kwa wiki hii, filamu ya Four angle na Kauli ya Mama inasambazwa na kampuni ya Steps Entertainment, nunua kazi halali katika kukuza tasnia ya filamu..

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging