Mshindi wa shindano la kusaka sauti Leanne Mitchell, ametangaza wazi kwamba hana mpango wa kupunguza unene ili aweze kuwa na mwonekana mzuri.Leanne (28) alitangaza hatua hiyo juzi baada ya kuibuka mshindi ghafla katika shindano hilo lililoandaliwa na shirika la Utangazaji la Ungeleza BBC ili kusaka mwimbaji bora.Akitangaza hazima yake hiyo juzi mwimbaji huyo alisema "ninafurahi kwa jinsi nilivyo , amini usiamini niko fiti na nipo Ok" aliongezea kuwa kwa mujibu wa gazeti la Daily Mirror kabla ya kuongeza kwamba kwa sasa hana mpango wa kubadili kitu chochote katika mwili wake Alisema kuwa anachotaka kukifanya kwa sasa labda ni kununua nguo mpya na baadhi ya zawadi kwa ajili ya marafiki na familia yao..
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.