TEQUILA NIGHT NA PRO24 DJS Posted on by Zourha Malisa Wakali wa kuchanganya midundo Afrika mashariki na kati PRO-24 DJz wakikonga nyoyo za wapenda muziki ndani ya Tequila Night@ Runway Lounge kila alhamisi ya tatu ya mwezi