Google PlusRSS FeedEmail

MARY J ADAIWA DOLA 250,000




Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani Mary J Blige anadaiwa kiasi cha dola 250,000na benki ya TD. Mwanamuziki huyo anadaiwa pesa hizo na Steve Sloolaute ambazo walikopa kwa ajili ya mfuko wa wanawake.TD Bank ilitoa pesa hizo kwa mtindo wa FFAWN Juni 2011 na walikubaliana kuzilipa Disemba 2011 lakini mpaka leo imeambulia kulipwa dola368.33

Kwa upande wa Mary alipoulizwa tuhuma hizo alisema ,” Ni kweli nilionana na mtu wa kitengo cha pesa na natakiwa kuwajibika kwa chochote kitakachotokea”

“ lakini tatizo sikuwa na watu sahihi na sehemu nzuri kwa kufanya jambo hili, hii halitakiwi kutokea tena,kwa sasa najaribu kuangalia nitamaliza vipi”Msanii huyo alisema kuwa analifanyia kazi swala hilo akiwa na watu wapya kwa ajili ya kuhakikisha anafufua tena mfuko huo,na kumaliza pesa zote alizokopa kwa mtandao wa FFAWN

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging