Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino Agency, Hashim Lundenga (kushoto), akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) Dar es Salaam jana kuhusu shindano la Redd's Miss World Tanzania litakalofanyika Jumamosi. Kulia ni Meneja wa kinywaji cha Redd's, Victoria Kimaro