MUONEKANO Posted on by Zourha Malisa Siyo mbaya kama ukivaa nguo ya rangi moja kama hapo inavyoonekana hii huleta mvuto zaidi hata kwa mpenzi wako, na pamoja na hilo inaongeza umaridadai na muonekano mzuri