MZEE SMALL AHAMISHIWA HOSPITALI YA MUHIMBILI Posted on by Zourha Malisa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) Caasim Taalib (kushoto) akimjulia hali msanii maarufu wa maigizo nchini Said Ngamba (Mzee Small) kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili alikolazwa kutokana na maradhi ya Shinikizo la Damu (BP)