ORIGINAL COMED WAZINDUA KAMPENI YA TUPO WANGAPI
Wasanii wa kundi la vichekesho la Original Comed, wakitoa burudani katika uzinduzi wa kampeni ya 'Tupo Wangapi' Tulizana, iliyozinduliwa juzi kwa ajili ya kupunguza kasi ya maambukizi ya Ukimwi ambapo iliandaliwa na PSI kwa udhamini wa Shirika la USIAD la Marekani.