Rapa Nick Minaji alifuta onesho lake lililotarajiwa kufanyika New Jersey jumapili baada ya DJ mmoja wa redio kuupiga chini na kubadirisha jina la moja ya nyimbo zake .Nyota huyo wa hip hop alitakiwa kutumbuiza kwenye ukumbi kwenye uwanja Met Life katika tamasha la Summer Jam kabla ya kufutwa siku chache kabla ya tamasha hilo Habari za kuhairishwa kwa onesho hilo zilitangazwa na rapa Lil Wayne, ambaye ndiye bosi wa lebo anayoifanyia kazi Minaji ya Young Money Entertainment .Lil Wayne aliandika kwenye ukurasa wake wa Twitter.com "Young Money haitafanya tamasha la summer jam"....
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.