Album ya mkali wa ngoma “ Live Your Life” ft. Mwanadada Rihanna mwezi huo itakuwa ikitoka album yake ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa Hip Hop Duniani inayoitwa “Trouble Man” ambayo ni album yake ya nane. T.I alisema kuna nyimbo ambayo amefanya na wakali katika game Andre 3000 na Kanye West. Akaongeza kabla haijaisha kuna wasanii wengine wakubwa ambao anategemea kuwashirikisha ni pamoja na Katy Perry, Bruno Mars na Santigold....
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.