Wapenzi wa muziki wakienda sambamba na midundo ya muziki,ndani ya Club Masai Kinondoni jijini Dar es Salaam kazi nzuri ya maDJ wanaotikisa wa Afika Mashariki na kati kwa kuweka vionjo tofuti tofauti katika anga ya muziki ndani ya Afrika na nje ya Bara la Afrikauziki