Mhariri Mkuu wa Mtandao wa MO BLOG Lemmy Hipolite akiwa na Miliki wa Millard Ayo website na ambaye ni mtangazaji maarufu wa Radio na Televisheni hapa nchini Millard Ayo.wakibadilishana mawazo kuhusiana na kazi mbali mbali kuhusiana na Blogs mbali mbali hapa Nchini...