Google PlusRSS FeedEmail

YALIOJIRI KWENYE EPIQ BONGO STAR SEARCH 2012 DODOMA

Huyu mshiriki alijulikana kama  Grace alifanya vyema
                             
                     Mmoja wa Washiriki akionyesha kipaji chake mbele ya majaji (hawapo pichani). Madam Rita Akitoa damu...

Majaji wakijadiliana

Mshiriki  Joha, akimkabithi Madam Rita mtoto wake kabla ya kuanza kuimba

Mshiriki mdogo kuliko wote katika mchakato wa kupata washiriki huko Dodoma akiulizwa umri wake

Mshiriki Fabian Peter  akitoa burudani wakati akisubiri  kuingia kwa majaji

Mpiga picha wa Benchmark productions akiwa na watu wa damu salama akijiandaa kutoa damu

Majaji wakifanya majadiliano

Baadhi ya washiriki waliojitokeza kwenye zoezi la kusaka vipaji mkoani Dodoma.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging