Aunty Ezekiel ambaye ni wa filamu na mtayarishaji wa filamu amesema kuwa matokeo ya kuilinda ngozi yake kwa kutotumia vipodozi vikali imekuwa na faida kubwa kwake , kutokana na muonekano wa ngozi yake kuwa na mvuto inampata nafasi ya kufanya vizuri katika tasnia ya filamu na kupata matangazo na kazi nyingine katika tasnia ya filamu na sanaa kwa ujumla Kwa hivi sasa msanii huyo aliyasema hayo baada ya kuchaguliwa kuwa balozi wa Zuku .. Aunty Ezekiel alisema amefurahia kuchaguliwa kuwa balozi king’amuzi cha Zuku katika channel inayojulikana kwa jina la Zuku Swahili movie, pamoja na Jacob Stephen ‘JB’ wasanii hawa wanawakilisha wenzao kwani channel hiyo itakuwa ikionyesha filamu nyingi za Kitanzania zikiwemo tamthilia, Vichekesho, Kwaya na kazi zingine za sanaa zinazotumia Lugha ya Kiswahili kutoka hapa Afrika Mashariki.
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








