Google PlusRSS FeedEmail

HARUSI YA MTITU YAWAGAWA BONGO MOVIE NA TAFF.

          Urafiki wa Mashaka JB mwenyekiti wa Bongo Movie Club na Rais wa TAFF Mwakifamba


Mgawanyiko mkubwa katika tasnia ya filamu kwa wasanii hawa kuwa na vyama viwili vyenye sera tofauti, kila upande haukweka bayana hasa Bongo Movie Club, jambo hili linadhihirika kufuatia ujumbe ninaotumiwa na Rais wa shirikisho la filamu Tanzania Simon Mwakifwamba unaopiga marufuku msanii wa TAFF kudhuria kikao cha Harusi ya Mtitu Leaders . Jambo linalotusikitisha sisi wadau wa tasnia ya filamu ni kutoambiwa ukweli kuhusu jambo hili kuwa wasanii ni wamoja wakati hakuna umoja hapa kila mtu anaangalia maslahi yake ambayo ni ya muda mfupi tu, Mwl. Nyerere aliwahi kuongea katika moja ya hotuba zake “Dhambi ya Ubaguzi ni sawa na mtu kula nyama za watu, hawezi kuacha,” Hotuba ya Mwl. Nyerere.....

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging