GAGA ATANUA NA MPENZI WAKE
Lady Gaga amekuwa na furaha baada ya kumchukua mppenzi wake kwenda naye kwenye mgahawa wa baba yake na kupata chakula na kumtambulisha .Gaga aliongozana na Taylor Kinney katika matembezi nchini Austaria na kurudi pamoja nchini New York
Usiku waliamua kwenda katika mgahawa wa Joe Germanotta’s huku Joe akiwepo kama kawaida yake,Gaga kwa sasa amekuwa ni mtu tofauti kidogo kwani katika tukio hilo aliamua kwenda usiku huku akijificha kukwepa kuonekana na mapaparazi








