JAY Z ameamua kuonyesha mapenzi kwa binti yake baada ya kumtungia wimbo ambao unazungumzia maisha ya kifahari anayoishi mtoto huyo,Jay z ameamua kumwiimbia binti huyo Blue Ivy Carter baada ya kutimiza miezi sita toka mkewe Beyonce alipojifungua
Kwa mujibu wa Jay Z alidai kuwa binti huyo anaishi maisha ya kifahari kuliko watu wengine wanavyozani katika wimbo huo Jay Z amemshirikisha rapa anayekuja juu kwa sasa Ric Ross ambaye amezidi kunogesha wimbo huo








