Google PlusRSS FeedEmail

GAGA KUZAA WATOTO WATANO

Msanii mwenye vituko vingi Lady Gaga ameibuka na kudai kuwa angependa kuzaa watoto watano wote wakiwa na baba tofauti, Msanii huyo ambaye mara kwa mara amekuwa akifananishwa na Lady Madona kutokana na vihoja vyake alisema kama atafanikiwa hilo ataridhika na nafsi yake .“Kila mtu anakuw a na ndoto zake katika maisha hivyo hata mimi nikiwa kama binadamu wengine napenda hivyo” Msanii huyo alisema kuwa mwaka huu kabla haujaisha anatarajia kuanza kutimiza lengo hilo bila ya kufafaanua zaidi nini anamaanisha.......

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging