Kim Kardashian kwa mara ya kwanza ameonekana akiwa amevaa nguo iliyombana mwili wake na kuonyesha shepu ya tofauti na iliyokuwepo awali, Kim alionekana hivi karibuni katika mitaa ya New York akiwa na mpenzi wake Kanye West, kwa mujibu wa watoa habari hizi wanasema kuwa Kim ametengeneza shepu hiyo ambayo awali hakuwa nayo , watoa habari wamesema kwa muda mrefu Kim alitaka kuwa na shepu kama ya Beyonce ambaye ni mke wa Jay Z ambaye ni rafiki wa karibu na Kanye
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.








