Malikia wa Pop , Kyline Minogue ameonesha muonekano atakaokuwa nao katika filamu yake mpya baada ya kubambwa akiwa na kichoro baandia ya tattoo, mbali na michoro hiyo kinara huyo anayeongoza katika misimamo wa nyimbo bora ya Aussie, vilevile juzi alifumwa akinunua ngiuo jijini New York wakati akirekodi filamu hiyo mpya , Msanii huyo alianza kuwa na uchizi wa tattoo wakati alipofyatua filamu yake ya kwanza iitwayo Moulin Rouge miaka 11 iliyopita
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.