Baada ya kuzichapa katika tamasha la matumaini , mastaa wawili wa bongo movi Jaqkline Wolper na Wema Sepetu wamekuwa marafiki baada ya mpambano huo kuwapatanisha Habari za kuaminika zilizomfikia mwandishi zimeleza kuwa baada ya pambano hilo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam bifu la muda mrefu la wasanii hao limeisha baada ya kutokea marafiki na kuwakutanisha Inaeleza kuwa awali wasanii ambao walikuwa chui nap aka hatua ya kuingia ulingoni ili kuonyesha nani zaidi ya mwingine hatua ambayo iliwatoa sare katika hatua ya kupatana na kufanya kazi za sanaa kwa kushirikiana
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.