Mama wa mwanamuziki matata Amy Winehouse amesema kuwa kwa sasa anaamini mwanaye amegeuka kuwa kipepeo baada ya kufaliki kwa matatizo ya ulevi Gazeti la Daily Mirror lililipoti juzi kuwa Janis Winehouse , 57 anadai kububujikwa na machozi baada ya kusikiliza moja ya nyimbo katika ya nyimbo za mwanae huyo Alisema “ninauwakika kwamba mwanagu amegeuka kuwa kipepeo kwa sababu anataka uhuru wa kupaa apendapo “alisema Nyota huyo alifaliki julai 23 mwaka jana akiwa nyumbani kwake Kaskazini jijini mwa London akiwa na umri wa miaka 27 kifo chake kilitokana na ulevi . Janis aliongeza kuwa “kunashimo kubwa katika maisha yangu wakati mwingine huwa kilasiku natumia muda kuzungumza na mwanagu na wakati mwingine huwa nikiamka usingizini nimechoka”
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.