Google PlusRSS FeedEmail

MADONNA AKUMBWA NA MKASA

Mwanamuziki Madonna amekumbwa na mkasa baada ya kuiba vionjo vya muziki katika kibao chake kinachotamba kiitwacho ‘Vogue’. Kwa mujibu wa mtandao wa Gital Spy mmliki wa nembo hiyo ambaye ni kampuni ya Vmg Salsoul anamshtumu nyota huyo kwa kuiba vionjo katika wimbo wa bendi ya Salsoul Orchestra ambayo ilitamba miaka ya 1975 uitwao ‘Chicago Bus Stop (Oooh, ILove it)
Katika hati ya mashtaka inaelezwa kuwa Madonna hajawahi kulipa chochote, baada ya kufyatua kibao hicho na kujiingizia faida kubwa tangu mwaka 1990 Hata hivyo gazeti hilo linadaia kuwa jitihada za kumpata mwanamuziki huyo aelezea chochote kuhusu shutuma hizo hazikuzaa matunda

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging