Mara Baada ya sakata la mwanamuziki wa Uganda, Joseph Mayanja Chameleone kudaiwa kumtapeli fedha, Mkurugenzi wa Global Publishers & General Enterprises LTD, Eric Shigongo, yameibuka madai kwamba msanii huyo ameshasababisha balaa nchini Uingereza Mwandishi wa Diaspora, ameandika ujumbe mtandaoni kwamba Chameleone ameshatapeli sana nchini Uingereza, kiasi kwamba hivi sasa watu wengi wameshamuwekea kisasi.
Ameandika: “Muimbaji chameleon kutoka Uganda ni mwizi sana .Hapa Uingereza amesha tapeli watu staili hio hio na maneja wake. Ni mchezo wake.Akirudi hapa UK anaweza kupigwa mawe.Bangi zina msumbua tuu.
“Yeye ninani mtu amabe hawezi kumuheshimu mwakilishi wa Rais wetu Uganda -Balozi wetu pale kampala. Nashanga serikali ya Uganda wamemsikiliza na kuifanya hii ishu itake kuharibu uhusiano mkubwa kati ya nchi hizi mbili. Hivyo Chameleone mnamjua?
“Juzi kawa Muislam kesho yake karutadi tena. Bangi haziwezi zina mpelekesha. Anafaa kua jela maana ni msani jambazi. Huko kampala na sikia wamesha rushiana risasi na msani Bobby wine.

wa bongo hacheni wivu wa kijinga, KAMA TAPELI ANGEKUWA AMEISHAFUNGWA JELA, KWA VILE NI HUZUSHI WENU WA MAMBO NA UMBEA TUUU NDOMANA BADO YUPO KITAA, WATANZANIA TUBADILIKE NA TUHACHE CHUKI UMBEA NA UWONGO HUSIO KUWA NA MPANGO, KAMA TAPELI MBONA HAJAKAMATWA BWANAAAAA? KWANINI MTUNGE MAMBO MIDOMONI MWENU?