Badala yake binti huyo ameanza kuelekeza ndoto zake katika kuanda vipindi vyake vitakavyorushwa na vituo mbalimbali vya terevisheni, akisema "Huwezi kujua naweza kuwa Oprah Winfrey wa India"
Anasema mpaka sasa hajapata mikataba ya kutosha kucheza filamu na bahati mbaya kwake ni kwamba hata mikataba ya kucheza filamu tatu za awali kwake, imesitishwa katika mazingira ya kutatanisha
Moja ya filamu hizo, Khiladi 786 iliwekwa kando na nafasi yake ilichukuliwa na kimwana mwingine Asin