ASHANTI AMEANZA KUTANGAZA
Ashanti ameanza kazi ya kutangaza katika kipindi cha habari za muziki na wasanii cha kila siku katika televisheni ya 'Fuse News'
Mmoja wa wageni wake wa kwanza alikuwa ni rapa Lupe fiasco alimuuliza kasha la albamu yake mpya ya 'Food & Liquor II , Lupe alibainisha kwamba kasha hilo limetokana na wimbo wa kupinga wa Johnny Cash wa 'Man in Black' wa mwaka 1971
Kazi ya sanaa ambayo ni tupu imedhamiria kutoa ujumbe "ni albamu rahisi kuipata" alisema Lupe "nilitaka kitu fulani cha kuleta maswali iwe kama historia