Wakati wa safari yake ya Chicago kwa ajili ya mashindano ya mchujo wa 'American Idol'Mariah Carey alijumuika studio na R. Kelly, wamerekodi mwimbo mpya ambao wameuita 'ni babu kubwa'
"Mimi na Kelly tuko studio tukiandaa wimbo mpya OMG sauti yake ni balaa" aliandika katika ukurasa wake wa twitter Mariah ambaye albamu yake mpya inakuja mwakani