Google PlusRSS FeedEmail

MIKANDA YA NGONO YA KANYE WEST YAONEKANA HADHARANI



Rapa Kanye West ameingia katika mzozo mpya baada ya kupatikana kwa mikanda miwili aliyoigiza picha ya ngono miaka ya nyuma inayouzwa katika maduka mbalimbali na kusambazwa katika vyombo vya habari

Ripoti inasema kuwa mikanda hiyo aliigiza akiwa na binti mdogo katika chumba cha hoteli ambao ni wa pili kupatikana katika kipindi kifupi

Mikanda yote ina muda mrefu ule wa kwanza umetumiaa dakika 20 huku mwingine ukiwa ni zaidi ya dakika 40 ambayo inaonesha kwa undani matukio waliyoyafanya huku muda mwingine wakionekana kupumzika

Mtu wa karibu wa Kanye alisema kuwa rapa huyo hajui ni jinsi gani mikanda hiyo imerekodiwa kutoka katika komputa yake binafsi ambapo kama atamjua mtu huyo aliyezitoa atamfikisha katika vyombo vya usalama

Kanye alishawahi kumlalamikia mpenzi wake Kim Kardashian baada ya kuona mkanda wa ngono wa mrembo vuyo na sasa imekuwa ni zamu yake jambo linalowafanya kusubiri kuona Kim atafanyaje

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging