Google PlusRSS FeedEmail

MTUKUDZI KIKOHOZI NDICHO KITAMBULISHO CHANGU CHA BIASHARA YANGU YA MUZIKI



Mwanamuziki nguli kutoka nchini Zimbabwe Oliver Mtukudzi amesema matatizo yake ya kukohoa kila wakati anapokuwa akiimba yalitokana na ajali aliyoipata alipokuwa studio mwaka 1978

“Naam kilichotokea mwaka 1978 wakati tulipokuwa tukirekodi kipindi hiko nikiwa na marehemu Hilton mambo ambayo alikuwa mhandishi ni kama ajali kwani ilitokea nikakohoa katika albamu yangu ya kwanza na baadaye ikatokea tena hali hiyo na haikuweza kufutwa,

Na wakati huo studio zilikuwa chache sana hivyo wezi kutumia muda muda mwingi ukiwa studio, nilikuwa katika studio ya Robinson na baada ya kutokea hilo ilishindikana kufuta, na baadaye nikaja kurudia kosa hilo katika albamu ya pili, tuliamua kuacha iwe hivyona baadaye ikawa kama biashara kwangu “ anasema Oliver

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging