Google PlusRSS FeedEmail

RACHEL AZUNGUMZIA KUHUSU PICHA YENYE UTATA AKIWA NA LINAH NA DIAMOND

Recho Atoa Ufafanuzi wa Picha tuliyowekwa jana kupitia mitandao ya jamii, kulikua na mzunguko wa picha hiyo kila kona ya mitandao , huku ikiwaacha mashabiki kujiuliza maswali mengi na wengine kudai kuwa inawezekana kuna watu tu wameamua ku edit picha kwa madhumuni ya kuwachafu wasanii hawao ambae ni Lina kushoto, Recho kulia na Diamond.
kupitia simu tumefanikiwa kumpata Recho ambae yupo mkoani Iringa kwa ajili ya show ya leo na haya ndio aliyoyasema."hiyo picha ni hali tu ya kawaida, nawala hatukua peke yetu tulikuwa na wasanii wenzetu na presenter wengine tulikuwa tunaogelea,na tulikua tunapiga picha ndio, so ni bahati mbaya tu diamond kutushika sisi vile alikua anajiweka sawa tu sema mpiga picha ndo aliwahi kupiga, bahati mbaya tu ndio mtu akaziweka kwenye bbm ndio ikafikahuko.tulikua sehem to have fan tu, tunaogelea so nikitu ambacho hata mwenyewe sijakipenda kwasababu si tumefanya vile kwa sababu yetu wenyewe ila mwingine anachukua nakuanza kusambaza sio vizuri...

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging