BEYONCE ATOKA NA MAVAZI YA BARIDI
Beyonce amezindua vazi kali la kutokea kwenda kujirusha kutoka katika mtandao wake wa mavazi ya majira ya baridi ya mwaka huu ya House of Dereon Winter 2012
Katika kutangaza mavazi hayo Beyonce amevaa mwenye na kupigwa picha na mpigapicha Jean-Baptiste Mondino, ambaye amepiga picha kampeni nzima ya kuyatangaza mavazi hayo na kusambaza katika internet