DNA ABAMBA USIKU WA CLUB
Msanii kutoka nchini Kenya anayetamba na kibao chake 'Unamaswali ya Polisi' DNA akiwa ameshuka jukwaani muda mfupi baada ya kuonyesha mashabiki wake maswali ya polisi katika ukumbi wa club Bilicans wakati wa uzinduzi wa Usiku wa Club uliokuwa ukirushwa live na TBC I &TBC II , usiku huo pia uliandaliwa na Pro- 24 DJ'S