KUNDI LA MASHAUZI CLASSIC WALIPAGAWISHA MASHABIKI WAO
Waimbaji wa kundi la taarabu Mashauzi Clasic wakiwa jukwaani wakiwaburudisha mashabiki wao katika ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam katika tamasha la East Africa Pamoja Conert iliyoandaliwa na Pro 24 Dj's