JULIANA AFANYA USFI NA KUTEMBELEA WAGONJWA
Mwanamuziki Juliana Kanyomozi amefanya usafi katika Hospitali ya Mulago baada ya kuchaguliwa kuwa kiongozi wa kampeni ya kusafisha jiji la Kampala ijulikanayo kama Kampala City Yange Team
Juliana hakuwa pekee yake katika shughuri hiyo wasanii wengine waliyeungana naye kufanya usafi siku hiyo ni Bebe Cool na Bobi Wine ambao walikuwa wakifanya usafi katika Miji ya Bukoo na Kamwokya
Mbali na kufanya usafi huo wasanii hao walitembelea wangonjwa kuwajulia hali na kuwafanyia usafi wa vitanda na vyombo vyao
Kampeni hiyo itakuwa kila mwezi inachagua kundi la wasanii ambao watakuwa wakifanya usafi kwenye hospitali za Serikali