KIM KARDASHIAN ATUPIA PICHA KWENYE MTANDAO INAYOMUONESHA MWILI WAKE
Mwanamitindo asiyeishiwa vibweka kila siku Kim Kardashian ameweka picha inayomuonesha mwili wake na kuandika 'Anamvuto? jibu linategemea na jinsi ulivyoona'
Kardashian kwa sasa yupo katika kuonesha mitindo ya vitu vya thamani ambapo picha hiyo ameiweka mwenyewe
Picha hiyo inamuonesha Kim akiwa amevaa kivazi ambacho kinamuonyesha sehemu kubwa ya mwili wake ambayo pia katika hali fulani inafurahisha
Kim mapema mwezi februari alizua mjadala baada ya kueleza uzoefu wake wa kuwa na wanaume mbalimbali kimapenzi ambapo alidai ni sehemu ya alama ya maisha yake
"Sijajitambua mwenye kama nina mvuto kama wengine wanavyofikiria, lakini katika mambo ya kijinga kama haya kila siku ninavovaa nahisi kuvutia" alisema