kwa mujibu wa video iliyotolewa na watu wa ulinzi waliokuwepo katika ukumbi huo ilionyesha wawili hao wakibishana kabla ya wapambe wao kuwatenganisha kabla ya kupigana
Video hiyo iliweza kuonesha kabisa jinsi wawili hao walivyotaka kupigana kwa ngumi kabla ya kutaka kuondolewa kila moja kupelekwa upande mwingine
Rick Ross alionekana akiwa amevua fulana yake kabla ya kupelekwa mbali , lakini pia baadae alionekana kutaka kujaribu kumfuata tena Young Jeezy kabla ya walinzi kumzuia kufanya hivyo
Taarifa kutoka jeshi la polisi zinasema kuwa hakuna mtu ambaye aliweza kukamatwa kutokana na tukio hilo kwa kuwa swala hilo halikufikishwa