MDAU WA PRO 24 KWENYE POZI Posted on by Zourha Malisa Esi Lovey ni mmoja kati ya wadau wa Pro 24 djs ,akiwa amepozi na tisheti lenye nembo ya pro 24 Djs ni moja ya kuonyesha kukubali kazi za kundi hilo la ma Dj wanaotikisa Afrika Masahariki