LINAH ALIONYESHA UPENDO KWA MASHABIKI CLUB BILICANAS
Posted on by Zourha Malisa
Msanii kutoka THT Lina Sanga 'Linah' akiimba sambamba na msanii mwenzie Recho kwa ajili ya kushoo luv na mashabiki waliohudhuria Usiku wa Club unaofanyika kila siku ya jumapili na iliyoandaliwa pamoja na kurushwa live na TBC I, & TBC II, na Pro 24 Djs ,