OMAR MKALI KUTOKA NA YOUNG P
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Young P, ameachia video ya wimbo wake mpya wa 'Supu ya Pweza' huku akimshirikisha Omary Mkali katika nyimbo hiyo
Young P ambaye anajulikana pia kama Peter Fransic, alisema kuwa wimbo huo uliopo katika mahadhi ya mduara ameurekodi katika studio ya OM Records chini ya prodyuza Omar Mkali
Kabla ya wimbo huo Young P alipata kuachia wimbo wa 'Malavidavida'aliomshirikisha JI kupitia studio 24/7 chini ya mtayarishaji Villy








.jpg)