P-SQUARE PROFILE
Wasifu wa P-Square ; Peter & Paul Okoye
Wasifu wa P- Square unaonesha kuwa Peter na Paul Okoye ni mapacha wametambuliwa zaidi kutokana na kazi zao za muziki kwa albamu zao kadhaa huku wakiwa chini ya leo ya Square.
Wamebaki pia kuwa wasanii bora wa muziki wa taratibu (R&B) Nigeria mwaka 2011, walihamia lebo ya Konviet muziki inayomilikiwa na msanii wa muziki wa Senegar aliyezaliwa Marekani anayetambulika kwa jina la Akon
Mwaka 2012 Psquare waliingia mkataba na msambazaji wa kazi chini ya lebo ya Afrika Kusini inayoitwa Universal Music, taarifa zinaonesha kwamba Psquare ni mapacha waliofanana wamezaliwa tarehe 18 mwezi wa kumi na moja mwaka 1981 kwa mantiki hiyo wanamiaka 30
Historia ya P-Square (PETER & PAUL OKOYE)
Kutokana na historia ya Psquare, wazazi wa Peter na Paul Okoye wanatokea jiji la Jos jimbo la Plateam kaskazini mwa Nigeria wakati Paul na Peter walisoma St Lumba elimu yao ya sekondari na walijiunga shule ya muziki na maigizo ambapo mapenzi yao ya kucheza na kuimba yaliendelezwa
Kikundi chao cha kwanza kilijulikana kwa jina la 'Smooth Criminals' na walitumbuiza maeneo tofauti jiji la Jos wakiwa na elimu ya juu
Tofauti ya Peter na Paul ni kwamba Peter anapenda zaidi kuimba huku Paul akipenda zaidi kucheza
Psquare na nyimbo za hivi karibuni na historia ya kisanii
Mziki wa hivi karibuni wa Psquare na unaonekana ukitamba zaidini Beautiful Onyinye ambao wameshirikisha msanii maarufu kutoka nchini Marekani Rick Ross video ya muziki imefanyika Los Angles na sasa wanashika kumi bora kwenye chati tofauti kama Nigeria, Uingereza pamoja na hayo walishinda tuzo za 'Grab the Mic' ambazo zilidhaminiwa na kuandaliwa na Berison na Hedges' mwaka huo huo kikundi 'Last Nite' album yao ya kwanza Psquare ilikuwa yamafanikio mwaka 2005 walitoa albamu ya pili ijulikanayo 'Get Squared' chini ya lebo yao 'Square Records'
Psquare
Video za muziki wa Psquare imekuwa ikichukua tuzo mbalimbali kutokana na ubora wa video hizo na aina ya uchezaji , mwaka 2007 walipata mafanikio ya uuzaji wa albamu kwa kuuza makala milioni 8,duniani
Albamu ya 'Game Over' mwaka 2009 walitoa albamu iliyokuwa inaitwa 'Danger' P-square wamechukua tuzo tofauti kama BCT mwaka 2011MTV base mwaka 2010
Mashabiki wa Psquare wamekuwa wakijiuliza maswali juu ya mahusiani
Toka vyanzo vya habari hivi karibuni vinasema kuwa Peter hajafunga ndoa na Paul Okoye pia mchumba wake ni mjamzito








