Google PlusRSS FeedEmail

BIEBER , SELENA WADUMISHA MAHUSIANO YAO




Justin Bieber (18) na Selena Gomez (20)wanaonekana kuzima kabisa tofauti zao na sasa wanaonekana kula ‘bata’ huku picha mpya zilizopigwa wiki hii zimeainisha kurejea kwa mahusiano yao

Wapendanao hao wameamua kutoa nafasi nyingine kwa penzi lao ambalo lilikaribia kuvunjika hivi karibuni baada ya kimwana huyo kumtuhumu Bieber kumchombeza vimwana wengine kwa kutumia simu yake

Wakati wakiwa katika ziara ya mapumziko Selena alipigwa picha akiwa amekaa mapajani mwa Bieber huku wakibusiana na kukumbatiana wakati wakisubili usafiri kwenye Uwanja wa ndege wa Salt  Lake City Utah

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging