Google PlusRSS FeedEmail

BRANDY NA MUONEKANO MPYA KATIKA FILAMU



Brandy ameonekana katika ‘trela’ ya filamu mpya iliyoongoza kwa kutoa mshindi wa tuzo za Oscar, Tyler Perry, iitwayo ‘Temptation Confessions of a Marriage Counselor’

Filamu hiyo ambayo imewashirikisha Kim Kardashian, Vanessa Williams, Jurnee Smollett, Lance Gross  na Robbie Jones katika kisa cha mshauri nasaha wa masuala ya ndoa ambaye yupo katika ndoa lakini anajikuta akianza mahusiano ya nje ya ndoa na mteja tajiri, na kadri muda unavyokwenda mahusiano hayo yanawafanya wawili hao kuingia matatani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging