TAMAR BRAXTON AONGOZA CHATI YA TUNES
Tamar Braxton (35) mdogo wake na Toni Braxton aliongoza chati ya Tunes kupitia nyimbo yake ya 'Love and War' na sasa nyota huyo a kipindi cha maisha halisi cha Braxton Family Values anajiandaa kuachia albamu yake
Wimbo huo wa hisia ulipaa na kuwapiku Rihanna, Britney Spears na Taylor Swift katika chati za Tunes ndani ya siku moja tangu alipouachia wimbo huo