Rihanna huenda akawa jaji mpya wa mashindano ya kusaka
vipaji vya kuimba ‘X Factor’ kwa mujibu wa L.A
Reid, muimbaji huyo wa kibao cha ‘Diamonds’ ni mtu sahihi wa kupewa
nafasi hiyo
“Nadhani Rihanna atafaa sana ili iwe sababu ya mimi
kuendelea kuangalia shoo hiyo ya Tv” Red alisema huku akicheka wakati
alipouulizwa mapema wiki hii