DHAMANA YA LULU KUJULIKANA LEO Posted on by Zourha Malisa Hatma ya kesi ya Lulu kuhusiana na kuomba dhamana itajulikana leo wakati mawakili wa msanii huyo wa filamu watakapoonyesha nia ya kuomba dhamana Mahakam Kuu Tanzania kanda ya Dar es Salaam