Google PlusRSS FeedEmail

NICKI AJIVUNIA KUIBUA VIPAJI




Rapa Nicki  Minaj amekuwa akitawala vichwa vya habari kwa bifu baina yake na jaji mwenzake wa American Idol, Mariah Carey lakini ameonyesha sababu halisi inayomfanya asaini dili la kuwa jaji wa shoo hiyo katika promosheni ya shoo hiyo ya televisheni

Nyota huyo wa kibao cha 'Starships' ameeleza anavyofarijika kuibua vipaji vipya na amefafanua namna alivyoinuka kutoka chini hadi kuja kuwa msanii maarufu duniani

"Nimekuwa nikiambiwa zaidi ya mara milioni na ninadhani ni muhimu sana kuwa na mtu ambaye anafahamu inakuaje unapofadhaishwa na kurejea kujaribu tena na hicho ndicho kikubwa katika mchujo wa shindano hili" alisema Nicki

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging