Mtandao wa Filamucentral umeandaa kinyang’anyiro cha
kumtafuta mchekeshaji wa mwaka huku mkali mzee Majuto ,akiwa yupo kwenye
kinyang’anyiro hicho pamoja na Mboto akiwa amewaomba mashabiki wake wa filamu
kumpigia kura za kutosha ili aweza kunyakua tuzo hiyo
Tuzo nyingine zinazowaniwa katika shindano hilo ni msanii
bora chipukizi yenye wasanii kama Mariam Ismail, Abdullah Ambua, ‘Dulla’ Halima
Ali
Huku tuzo ya msanii bora wa kike wanachuana Monalisa,
Jacklyne Wolper, Wema Sepetu, Jennifer Kyaka na Elizabeth Michael, huku muigizaji bora wa kiume wakichuana Jacob Stephen 'JB', Vicent Kigosi 'Ray', Steven Kanumba, Hisani Muya na Single Mtambalike ' Richie Richie