Google PlusRSS FeedEmail

PREZZO : "SINA MPANGO WA KUHAMA KENYA'




MSANII mwenye jina kubwa nchini Kenya Prezzo amekanusha uvumi unaovumishwa na baadhi ya watu kuwa anampango wa kuhama nchini humo na kuhamia Nigeria

Uvumi huo umeenea kwa kasi huku mashabiki wake wakionekana kuwa na wasi wasi juu ya uhamaji wake na kuishi nchini Nigeria kwa muda wa maisha yake

Prezzo ambaye amekanusha uvumi huo kulingana na maelezo yaliyotolewa katika kipindi cha Mseto East Africa kinachorushwa na citizen television alisema kuwa hana mpango wowote wa kuhama nchini Kenya na kuhamia popote pale

Alisema kuwa hana mpango wa kuhama nchi kwani Kenya ndio nyumbani kwake na patabaki kuha nyumbani kwa kipindi chote cha maisha yake

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging