Google PlusRSS FeedEmail

NIKKI MBISHI KUFANYA PROJECT NA GODZILLA



Wasanii nyota katika makamuzi ya muziki wa Hip Hop Bongo, Nikki Mbishi na Godzilla ambao wote walipata nafasi ya kusikika baada ya mashindano ya 'Freestyle' wameamua kufanya project ya pamoja

Wakali hao ni pamoja na Nikki Mbishi ambaye alitamba na ngoma yake ya 'Playboy' akiwa amemshirikisha Ben Pol, kwenye ukurasa wake wa Facebook Nikki Mbishi ameandika kuwa anampango wa kufanya project hiyo na Godzilla

Teyari wadau wa muziki wameeleza kuwa mpango wa nyota hao wa muziki kufanya kazi pamoja huenda mafanikio yao yakawa makubwa kufikia hali ya kutisha katika anga za muziki

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging